Kuna tetesi kuwa uongozi wa Real Madrid umeanza kuvutika na mpango wa kumsajili mshambuliaji machachali wa Man utd Marcus Rashford.
Kinda Huyo kwenye miaka 19 amedhihirisha Kipaji chake cha kufumania nyavu tangu alipoibuliwa na kocha aliyepita wa Man utd Louis van Gaal.
Real Madrid huenda ikaandaa ofa nono ili kuishwaishi Manchester united kumwachia kinda huyo kutua Bernabeu.

Comments
Post a Comment