Tetesi:Barcelona kumtengea Coutinho £65 m


Timu ya Barcelona inajiandaa kuweka mezani dau la £65 milioni kuishawishi Liverpool kumwachia Phelipe Coutinho.

Barcelona ina amini katika nyota huyo wa Liverpool ambaye huenda akarithi nafasi ya Andres Iniesta ambaye muda wowote baadae huenda akatandika daluga.

Uhusiano wa karibu kati ya Coutinho na nyota wa Barcelona Naymar unaweza kuwa chachu ya kumshawishi nyota Hugo kutua Barcelona.

Comments