Twitte, Chirwa hatarini kukatwa Yanga


Baada ya kusaini mkataba wa kuinoa Yanga George Lwandamina anafikiria mpango wakuachana na Mbuyu Twitter pamoja Obrey Chirwa.

Inasemekana kocha huyo ana mpango a kuleta nyota wawili kutoka ZESCO ya Zambia aliyokuwa akiinoa hapo awali kabla ya kusaini Yanga.

Endapo Twitte na Chirwa wataoneshwa mlango wa kutokea wataungana na Pascal Wawa ambaye ametimka Azam na kurejea El Merreikh ya Sudan.

Kocha huyo yupo kwenye mpango kabambe wa kusajili Strika na kiungo mkabaji wote kutoka ZESCO ya Zambia.

Comments