Timu ya Yanga leo imesonga mbele kwenye msimamo wa ligi kuu baada ya kuichapa Prisons bao 1-0 katika uwanja wa Sokoine.
Yanga ilipata bao pekee la ushindi kupitia Simon Msuva aliefunga kwa mkwaju wa penati baada ya Obrei Chirwa kufanyiwa madhambi na Nurdin Chona.
Matokeo hayo ni furaha kwa wana Yanga baada ya wapinzani wao Simba kufunga bao 1-0 na African Lyon katika uwanja wa Uhuru.

Comments
Post a Comment