Bingwa wa uzito wa juu wa IBF aliyeshinda mara (18-0) amekataa kuitwa mdogo wa Klitschko kuelekea pambano lao la April 29.
Klitschko, 40, alimuita Joshua ‘rafiki’ na akaelezea muda waliokaa
wote kipindi cha nyuma kweny kambi ya mazoezi, kama kaka na mdogo wake’
Amekuwa akiniita hivyo tangu siku ambazo tusingeweza kupigana’
sasa hapa ndio heshima inakuja. Kama ningejifanya mkubwa, hningekuwa ni mimi
nakujiamini.
“ananiita mdogo wake lakini nikimpiga ndani ya raundi, itakuwa
haina maana, si ndio?
Kama Wlad atashinda , atajisemea mwenyewe Mimi ni kaka Mkubwa! Lakini mikimshinda
atajua mambo yamebadilika na ni muhula tofauti, huu ni utawala mwingine wa Bingwa
uanayechipuka na kuja"

Comments
Post a Comment