Katika harakati za kujiweka sawa na raundi ya pili ligi kuu timu ya Azam imeamua kuweka kambi Zanzibar.
Azam itatua visiwani hapo siku ya jumatano kujiweka sawa na kabla ya kuendelea kwa ligi hiyo Desema 17 mwaka huu.
Azam ilimaliza raundi ya kwanza ikiwa na jumla ya pointi 25 ikiwa imeachwa pointi 10 na Simba na paointi 8 na Yanga.

Comments
Post a Comment