Baada ya ushindi, wachezaji wa Liverpool wajiachia na wake zao


Baada ya kutaka kwenye Merseyside Derby dhidi ya Everton wachezaji wa Liverpool wafanya party ya Chrismas na wake zao.

Mshambuliajia wa Liverpool Roberto Firmino aliposti picha ya mastaa hao katika ukurasa wake wa Twitter wakiponda raha na wenzi wao.

Firmino aliposti picha hiyo ambayo aliambatana na wachezaji wenzie akiwemo Alberto Moreno, Lucas Leiva na Felipe Coutinho ambao walikuwa wameambatana na wenzi wao.

Liverpool ilishinda Merseyside Derby baada ya kuichapa Everton bao 1-0 katika uwanja wa Goodson Park.

Comments