Bournemouth waikalisha Liverpool 4-3.


Timu ya Bournemouth imebuka mbabe mbele ya Liverpool baada ya kuichapa 4-3.

Hiki ni kipigo cha pili kwa Liverpool baada ya kufungwa na Burnley katika mechi ya pili ya Liverpool.

Comments