Chelsea yavuta mpunga mrefu baada ya kumuuza Oscar


Timu ya Chelsea imevuta kitita cha £52 baada ya kumuuza Oscar SPIG Shanghai ya China.

Oscar 24, alipoteza namba ya kudumu kwenye kikosi cha Chelsea baada ya kutua kwa kocha Antonio Conte.

Oscar atakuwa moja ya wachezaji wanaovuta mpunga mrefu na kuwapiga chini nyota kadhaa wanaovuta mpunga mrefu duniani akiwemo Ezequel Lavezzi, Christiano Ronaldo, Lionel Messi na Gareth Bale.

Comments