Sikukuu ya Chrismas imemuweka kwenye wakati mgumu kocha wa Yanga baada ya wachezaji kugomea mazoezi.
Yanga haijaingia mazoezi kwa muda wa siku mbili ikishinikiza kulipwa mishahara yao ya mwezi Novemba.
Wachezaji hao wameonesha nia ya kulipwa mishahara yao ili waweze kufurahi na familia zao katika sikukuu ya Chrismas.
Hatua hiyo imempa wakati mgumu kocha wa sasa George Lwandamina kutokana na mwitiko mdogo wa wachezaji mazoezini.

Comments
Post a Comment