EPL yamfanya Gurdiola akune kichwa, ni baada ya kuchezea 4-2


Kocha wa Manchester city Pep Gurdiola jana alikuwa hoi hali iliyopekelea kukuna kichwa chake mara kadhaa baada ya kupokea kichapo cha bao 4-2 kutoka kwa 
Leicester city.

Katika mechi hiyo Strika wa England Jamie Vardy alifunga Hat trick kwa Mara ya kwanza msimu huu na lingine lilifungwa na Andy king.

Comments