Uongozi wa Azam umemwondoa kocha wake Zeben Hernandez pamoja na benchi lake la ufundi.
Azam imefikia hatua hiyo kutokana mwendelezo wa matokeo mabovu kwenye timu hiyo.
Azam haijapata pointi 3 tangu kuanza kwa kwa raundi ya pili ya ligi kuu ambapo ilitoka sare na African Lyon pamoja Majimaji.
Azam imesema kuwa itatangaza jina la kocha mpya hapo baadae.

Comments
Post a Comment