Giroud aninyanyua Arsenal


Mshambuliaji wa Arsenal Oliver Giroud ameibuka shujaa baada ya kuinyanyua Arsenal dhidi ya West Brom.

Giroud alifunga bao pekee la ushindi kwenye dakika ya 85 baada ya kupokea pasi maridadi kutoka kwa Mesut Ozil.

Comments