Usajili: Mahundi akaribia kutua Azam FC


Timu ya Azam FC huwa inakaribia kukalimisha usajili wa mchezaji Joseph Mahundi kutoka Mbeya City.

Winga huyo atashuka Chamanzi kuchukua nafasi ya Faridi Mussa ambaye anakaribi kutua Tenerife ya Hispania muda wowote kuanzia sasa.

Muda wowote kuanzia sasa huenda Azam  ikatangaza rasmi usajili wa kiungo huyo ambaye amepata umaarufu akiwa na Mbeya city.

Azam imeadhimia kufanya vizuri kwenye mzunguko wa pili baada ya kusua kusua kwenye raundi ya kwanza ya ligi kuu.

Comments