Man utd yazid kufanya balaa England, yaifunga Sunderland 3-1


Timu ya Manchester united jana katika uwanja wa Old Trafford imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Sunderland.

Huu ni ushindi wa nne mfululizo ambao Man utd imepata baada ya kushinda dhidi ya Spurs, Crystal Palace na West Brom.

Mabao ya Man utd yalifungwa na Delay Blind dakika ya 39, Zlatan Ibrahimovic dakika ya 82 na Mkhitaryan.

Comments