Michezo minne kupigwa leo ligi kuu Vodacom


Leo ikiwa ni tarehe 17 ya mwezi Desemba michezo 4 itachezwa katika ufunguzi wa raundi ya pili ya ligi kuu Tanzania bara kama ifuatavyo

JKT Ruvu v Young Africans (Uhuru)

Mbeya city v Kagera Sugar (Sokoine)

Ruvu Shooting v Mtibwa Sugar (Mabatini)

Mwadui v Toto (Mwadui Complex)

Michezo minne mingine itapigwa kesho tarehe 18 ya mwezi huu.

Comments