Beki wa Real Madrid Sergio Ramos ameilinda rekodi ya Real Madrid msimu baada ya kuchomoa bao dhidi ya Barcelona.
Ramos alifunga bao hilo zikiwa zimesalia dakika chache mpira kumalizika na kuzima shangwe za mashabiki wa Barcelona katika uwanja wa Nou Camp.
Bao la Sergio Ramos limeiongoza timu hiyo kulinda rekodi yake ikiwa haijapoteza mechi yoyote hadi sasa tangu kuanza kwa ligi msimu huu.

Comments
Post a Comment