Mshambuliaji wa Real Madrid Christiano Ronaldo ndiye mchezaji bora duniani kwa mwaka 2016.
Ronaldo alitwaa tuzo hy jana baada ya kumpiga bao mpinzani wake Lionel Messi ambaye ametwaa tuzo hizo mara 5.
Hii mara ya nne kwa mshambuliaji huyo kutwaa tuzo hiyo nyuma ya mpinzani wake Lionel Messi.
Mwaka 2016 ulikuwa wa mafanikio kwa Christiano Ronaldo baada ya kuingoza Real Madrid kutwaa kombe la klabu Bingwa barani Ulaya.
Pia Ronaldo aliongoza taifa lake la Ureno kutwaa kombe la UEFA Euro kwenye michuano iliyofanyika nchini Ufaransa.

Comments
Post a Comment