Timu ya Simba imeanza vizuri kwenye ufunguzi wa raundi ya pili baada ya kuichapa Ndanda bao 2-0 katika uwanja wa Nangwanda Sijaona.
Simba ilipata mabao kupitia Mzamiru Yasin na Mohamed Ibrahim ambao wote walifunga kipindi cha pili.
Simba imeishusha Yanga juu ya Msimamo baada ya kufikisha pointi 38 ikiwa mbele kwa pointi mbili dhidi ya watani wao.

Comments
Post a Comment