Usajili: Agyei asaini Simba miaka 2


Aliyekuwa Golikipa wa timu ya Medeama ya nchini Ghana amesaini miaka 2 miwili ya kuitumiki Simba.

Kipa huyo aliwasili nchini akiwa na mizigo ya  ya kutosha kuonesha kila dalili kuwa Simba ilijipanga kukamilisha dili hilo haraka iwezekanavyo.

Usajili huo umetokana na ripoti ya kocha Joseph Omog ambaye kwa mujibu wa ripoti yake alihitaji kusajiliwa kwa golikipa mwingine.

Comments