Timu ya Azam imeibuka bingwa kwenye michuano ya kombe la mapinduzi baada ya kuichapa Simba bao 1-0.
Azam ilipata bao la ushindi katika dakika ya 13 kupitia Himid Mao aliyefunga kwa mkwaju mkali uliyomshinda golikipa wa Simba Daniel Agyei.
Hii mara ya 3 kwa timu ya Azam kunyakua ubingwa huo ikilingana sawa kwa idadi na timu ya Simba.

Comments
Post a Comment