Baada ya kumkosa Artulo Vidal hatimaye Chelsea yahamia kwenye mpango wa kumsajili Dimitri Payet.
Kocha wa Chelsea Antonio Conte anataka kuimarisha zaidi kikosi ambacho kinaongoza kwenye msimamo wa ligi kuu England.
Taarifa zimeibuka kuwa Chelsea inajiandaa kutoa ofa nono kuishawishi West Ham kumsajili mfaransa huyo.

Comments
Post a Comment