Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil Phelipe Coutinho amesaini miaka 5 ya kuendelea kuitumikia Liverpool.
Coutinho 25, amesaini mkataba wenye thamani ya £8 milioni kwa mwaka ambao utamuweka Liverpool hadi 2021.
Mkataba huo unamfanya Coutinho kupokea kiasi cha £150000 kwa wiki na kuwa miongoni mwa wachezaji wanaolipwa zaid Liverpool.

Comments
Post a Comment