Baada ya kushinda mechi 13 mfulilizo hatimaye yaangukia pua baada kufungwa bao 2-0 na Tottenham.
Bao pekee zilizofungwa na kiungo mshambuliaji wa Spurs Dele Alli zilitosha kuizima Chelsea katika uwanja wa White Hart Lane.
Spurs imesonga hadi nafasi ya tatu ikiwa na pointi 42 ikiipiga chini Manchester city na Arsenal kwenye msimamo wa ligi kuu.

Comments
Post a Comment