Timu ya Liverpool na Chelsea jana zimekosa mbabe baada ya kutokana sare bao 1-1 katika uwanja wa Anfield.
Chelsea ilianza kupata bao la kuongoza kipindi cha kwanza kupitia David Luis hata hivyo Liverpool walichomoa bao hilo
kipindi cha pili kupitia Giorgio Wijnuldum.
Bado Chelsea imejikita kileleni ikiongoza kwa pointi 9 dhidi ya Spurs na Arsenal ikiizidi Liverpool kwa pointi 10.
Katika mechi nyingine ilipoteza mechi ya jana baada ya kupokea kichapo cha mabao mawili 2-1 kutoka kwa Watforf.
Licha ya kuwa wenyeji wa Watford jana, bao za mapema zilizofungwa na mshambuliaji Troy Deeney zilitosha kuipokonya Arsenal Pointi 3.

Comments
Post a Comment