Baada ya kuing'oa nje Taifa Jang'ombe ya Zanzibar hatimaye Azam inakutana na Simba fainali.
Simba iliing'oa Yanga kwa mikwaju ya penati, baada ya kutosha nguvu kwa dakika 90 za mchezo huo.
Simba iliweza ilijihakikishia kusonga fainali baada ya kushinda kushinda kwa mikwaju ya penati 4-2.
Simba na Azam zitacheza mchezo wa fainali siku ya ijumaa katika uwanja wa Amani.

Comments
Post a Comment