Mchezaji wa kimataifa wa Uganda Emanuel Arnold Okwi huenda akaiweka Simba njia panda baada ya kuvunja mkataba na SonderjyskE ya Denmark.
Hadi kufikia jana Okwi alikuwa amevunja wake na timu hiyo kwa makubaliano maalum, ambapo sasa atakuwa mchezaji huru.
Simba au timu yoyote inayo nafasi ya kumsajili mchezaji huyo endapo atakuwa yupo nje ya mkataba na timu hiyo.
Okwi aliweza kuitumikia Simba kwa mafanikio makubwa huenda Simba ikatazama uwezekano wa kumrudisha.

Comments
Post a Comment