Riyad Mahrez ndiye mwanasoka bora Africa


Mshambuliaji wa Leicester city Riyad Mahrez ametangazwa kuwa mwasoka bora wa Africa 2016/17.

Raia huyo wa Algeria aliiwezesha Leicester city kutwaa ubingwa wa ligi England akiwa amefunga idadi magoli 20.

Kwa upande wa tuzo za ndani Denis Onyango kutoka Uganda ndiye aliyeziba nafasi ya mshambuliaji wa Genk na Taifa Stars Mbwana Samatta.

Comments