Timu ya Senegal maarufu kama Simba wa Teranga imejihakikishia kuingia hatua ya robo fainali baada ya kuichapa Zimbabwe bao 2-0.
Awali katika mechi ya kwanza Senegal ilijihakikishia ushindi wa aina hiyo ilipoichapa Tunisia bao 2-0 kwa sifuri.
Senegal ambao ambayo inaonekana kujipanga vilivyo kwenye mashindao imevuna pointi sita ikifuatiwa na Tunisia yenye pointi 3, huku Algeria na Zimbabwe wakiwa na pointi 1.

Comments
Post a Comment