Timu ya Arsenal imeanza kujiwekea mazingira ya kung'oka kwenye ligi ya mabingwa barani Ulaya baada ya kukubali kipigo cha bao 5-1 kutoka kwa Bayern.
Tangu 2010 Arsenal haijafuzu kuingia hatua ya robo fainali ya michuano hiyo na huenda ikang'oka baada ya kuanza vibaya kwenye hatua ya 16 bora.
Mabao ya Bayern Munich yaliwekwa nyavuni na Arjen Robben, Robert Lewandowski, Thiago Alcantara aliyefunga mara 2 pamoja Thomas Muller.

Comments
Post a Comment