Timu ya Barcelona imeonja joto ya jiwe kwenye ligi ya mabingwa baada ya kufungwa bao 4-0 na PSG.
Mechi hiyo ilichezwa jijini Paris katika uwanja wa PSG ikiwa ni mechi ya ugenini kwa Barcelona katika hatua ya 16 bora ya ligi ya mabingwa.
Mabao ya PSG yalifungwa na Angel Di Maria aliyefunga goli 2, Julian Draxler na Edson Cavani.

Comments
Post a Comment