Licha ya matokeo mabovu waliyopata kwenye ligi ya mabingwa timu ya Barcelona imeichapa Atletico Madrid 2-1.
Barcelona ilitoka sare na Atletico katika mechi ya kwanza ikiwa nyumbani na leo imefanya kweli baada ya kuibuluza Atletico katika uwanja wa Calderon.
Mabao ya Barcelona yaliwekwa nyavuni na Rafinha Alcantara pamoja na Lionel Messi.

Comments
Post a Comment