Chelsea yazidi kuchanja mbuga, yaichapa Swansea 3-1.


Timu ya Chelsea inazidi kujiweka pazuri katika ligi ya England baada ya kuichapa Swansea kipigo cha mabao 3-1 katika uwanja wa Stamford Bridge.

Chelsea ilipata bao za ushindi kupitia Cesc Fabrigas aliyefunga dakika 19, Pedro Rodriguez dakika ya 72 na Diego Costa aliyefunga dakika ya 84.

Comments