Godfery Bonny wa Yanga afariki dunia


Aliyewahi kuwa kiungo wa zamani wa Klabu ya Yanga Godfrey Bonny amefariki dunia.

Bonny amefariki dunia katika hospitali ya Rungwe iliyopo Tukuyu-Mbeya Alfajiri ya kuamkia leo.

Enzi za uhai wake Bonny amewahi kuzitumikia Prisons ya Mbeya pamoja Yanga, pia amewahi kuitumikia timu ya Taifa 'Taifa Stars'.

Comments