Hivi ndivyo kaka wa Pogba alivyojigawa kushangilia ndugu zake


Ndugu wa Paul Pogba, Mathias Pogba alizua kituko katika uwanja wa Old Trafford ambapo ilimrazimu kutinga jezi yenye iliyogawanywa rangi ya Man utd na St Etienne.


Katika mchezo wa jana Paul Pogba ambaye anakipiga Man utd alikutana na kaka yake Florentin Pogba ambaye ni Pacha wa Mathias Pogba anayecheza nafasi ya ulinzi katika timu ya St Etienne.

Katika mechi hiyo Man united ilitoka kifua mbele baada ya kuilaza timu kwa kipigo cha bao 3-0.

Comments