Ibrahimovic aipa Man utd taji la kwanza


Mshambuliaji wa Manchester united Zlatan Ibrahimovic amefunga mara 2 na kuibeba Man utd kutwaa taji la EFL.

Hadi mechi ilipofikia dakika ya 80 mabao yalikuwa ni 2-2 baada ya Gabbiadini wa Southampton kuchomoa bao hizo dakika ya 50 na 55.

Ibra aliinyanyua Man utd dakika ya 87 baada ya kufunga bao la ushindi na kuipiga chini Southampton.

Comments