Isco mbioni kutua Manchester city


Kiungo nyota Real Madrid Isco yuko njiani kutua Manchester city.

Chanzo kimoja kutoka Spain kimethibitisha kuwa raia huyo wa Hispania ataungana na Gurdiola katika usajili wa majira ya joto.

Isco hajasaini mkataba mpya na Real Madrid huenda mpango wa Manchester city ukakamilika kama inavyoripotiwa

Comments