Uongozi wa Barcelona upo kwenye mipango ya kumnasa kati ya kocha wa Liverpool Jurgen Klopp au Mauricio Pochettino wa Tottenham kwa ajili ya kuinoa Barcelona.
Barcelona inataka kuachana na Luis Enrique mwisho wa msimu huu kutokana na timu hiyo kufanya vibaya la liga pamoja na ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Uongozi wa timu hiyo unafikiria kumpa nafasi mmoja kati ya makocha hao ambao kwa sasa wamekuwa gumzo katika ligi ya England kutokana na soka lenye mvuto.
Hivi karibuni kumekuwa hakuna maelewano mazuri kati ya kocha wa sasa wa Barcelona na Uongozi wa timu hiyo.

Comments
Post a Comment