Zikiwa zimepita siku chache baada ya kutuliwa Claudio Ranieri hatimaye Leicester imepata ushindi mnono baada ya kuichapa Liverpool bao 3-1.
Mabao ya Leicester yalifungwa na Jamie Vardy aliyefunga mara mbili dakika ya 28 na 60, na lingine liliwekwa nyavuni na Danny Drinkwater aliyefunga dakika ya 30.


Comments
Post a Comment