Timu ya Liverpool kwa mara ya kwanza imeondoka na pointi 3, baada ya kuichapa Tottenham bao 2-0 tangu kuanza kwa mwaka 2017.
Mshambulaliaji wa kimataifa wa Senegal Sadio Mane ameonesha kuwa alikuwa pengo kwenye timu hiyo baada ya kutupia bao zote 2 katika ushindi huo.
Liverpool imesonga hadi nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi ya EPL ikiwa na pointi 49 juu ya Manchester city yenye mchezo mkononi dhidi ya Bournemouth.

Comments
Post a Comment