Mwanjali, MO Ibrahim kamili kuivaa Yanga


Nyota wa Simba Method Mwanjali pamoja na Mohammed Ibrahim wamereje kikosini kamili kuivaa Yanga February 25 mwaka huu.

Mohammed Ibrahim aliumia katika michauno ya kombe la mapinduzi Zanzibar na Method mwanjali alishindwa kuendelea katika mechi dhidi ya Prisons baada ya kupata majeraha.

Wote kwa pamoja wapo kamili na wameanza mazoezi kujiweka sawa kwa ajili ya mtanange wa watani wa jadi.

Comments