Timu ya Manchester bado haijaonesha jitihada za kujitoa kwenye nafasi ya 6 ya msimamo wa ligi kuu baada ya kukubali sare isiyokuwa magoli dhidi ya Hull city hapo jana.
hiyo ni sare ya tisa kwa Manchester united msimu huu, ikiwa imefungwa mechi tatu na kushindwa idadi ya mechi 11 huku nyingi ikiwa ni nje ya uwanja wa Old Trafford.
Man utd haijarejea kwenye ubora wake tangu Sir Alex Ferguson alipoachia ngazi kwenye timu hiyo mwaka 2013.
Comments
Post a Comment