Timu ya jeshi la magareza, Tanzania Prisons imetinga kwenye robo fainali ya kombe la FA baada ya kuichomoa Mbeya sita kwa jumla ya penati 4-2.
Timu zote zilitoshana nguvu hadi dakika 90 za mchezo na matokeo yalikuwa 1-1, hivyo kuingia kwenye hatua ya matuta.
Comments
Post a Comment