Kocha wa Chelsea Antonio Conte amesema kuwa amehuzunishwa na kitendo cha timu yake kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Burnley.
Conte alisema Chelsea ilistahili ushindi na si matokeo ya sare yaliyopatikana ndani ya dakika 90 kutoka na kiwango kizuri walichokionesha.
"Nadhani tulistahili ushindi na tulitakiwa kuondoka na pointi tatu, sare haikuwa halali yetu.
" Tulicheza kwenye kiwango cha hali ya juu na tulimzidi mpinzani wetu." Alisema Conte.

Comments
Post a Comment