Yanga ikiwa safarini, Simba imetoka kifua mbele katika mchezo wa ligi kuu baada ya kuifunga Prisons 3-0.
Simba imebeba pointi 6 na magoli sita katika mechi mbili ilizocheza dhidi ya Maji maji Songea, na Prisons leo.
Matokeo hayo yainafanya Simba kurejea kileleni na kuongoza kwa pointi mbili mbele ya mpinzani wao Yanga.
Yanga imeondoka leo kuelekea Comoro kwa ajili ya mchezo wa kimataifa dhidi ya Ngaya.

Comments
Post a Comment