Timu ya Tottenham imetoka na pointi 3 za ligi kuu baada ya kuichapa Stoke city bao 4-0.
Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane alifanikiwa kuondoka na mpira baada ya kufumania nyavu mara tatu (Hat trick) na bao la nne likifungwa na Delle Ali.
Harry Kane amefikisha idadi ya magoli 17 aliyofunga msimu akiwa sawa na Alexis Sanchez wa Arsenal akifuatiwa na Diego Costa wa Chelsea mwenye bao 16.

Comments
Post a Comment