Sutton yamzawadia Walcott bao la 100 Posted by eskaone blog on February 21, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mshambuliaji wa Arsenal Theo Walcott amefikisha bao lake 100 baada ya kufunga dhidi Sutton jana. Walcott mwenye miaka 27 alijiunga na Arsenal mwaka 2006 wakati huo akiwa na umri wa miaka 16 akitokea Southampton. Comments
Comments
Post a Comment