Yanga uso kwa uso na Zanaco ya Zambia


Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Yanga itashuka dimbani katika raundi nyingine dhidi ya Zanaco ya Zambia baada ya kuindoa N'gaya ya Comoro katika ligi ya mabingwa Africa.

APR ilishindwa kufurukuta mbele ya Zanaco ya Zambia baada ya kukubali kupokea kipigo cha bao 1-0 ikiwa nyumbani katika mchezo wa marudiano.

 Yanga na Zanaco zinawania nafasi ya kufuzu katika hatua ya makundi, endapo mmoja wapo atang'olewa atakuwa amepoteza nafasi ya kuendelea na michuano hiyo.

Comments