Timu ya Azam imeshindwa kusonga mbele kwenye michuano ya Kombe la shirikisho baada ya kupokea kichapo bao 3-0 kutoka kwa Mbabane Swallows.
Azam ilipata ushindi wa bao 1-0 ilipokuwa mwenyeji wa Mbabane katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi, ambapo matokeo ya 3-1 yamemuondoa mashindanoni.
Timu hiyo itaanza safari ya kurejea nyumbani siku ya leo ili kuendelea na ratiba zingine katika ligi ya nyumbani.

Comments
Post a Comment