Baada ya kuchezea kipigo cha bao 10-2 dhidi ya Bayern Munich hatimaye mashabiki wa Arsenal wamtolea uvivu kocha Arsene Wenger.
Mashabiki wa klabu hiyo walionekana kwenye uwanja wa Emirates wakiwa na mabango yalisomeka 'Wenger out ' wakishinikiza kuondolewa kwa kocha huyo.
Arsenal ilifungwa kipigo cha aina moja katika mechi ya ugenini na nyumbani baada ya kukubali kipigo cha bao 5-1 katika uwanja wa Allianz Arena na Emirates hapo jana.

Comments
Post a Comment